iqna

IQNA

rais rouhani
Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwezo wa vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ni kwa ajili ya kujihami na kutoa jibu litakalomfanya adui ajutie.
Habari ID: 3474005    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/14

Rais Rouhani akihutubu katika Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya lran amesema Marekani ilikiuka sheria kinyume na misingi na sheria za kimataifa kwa kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yaliyoidhinishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3471691    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/26

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Iran leo wamejitokeza kwa mamilioni katika katika matembezi ya maadhimisho ya mwaka wa 39 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu huku wakitoa nara dhidi ya utawala wa Kizayuni na Marekani.
Habari ID: 3471387    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/11

TEHRAN (IQNA)-Hassan Rouhani jioni ya leo amekula kiapo cha kuwa rais wa 7 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kipindi kingine cha miaka minne kwa kuahidi mbele ya Qur'ani tukufu kwamba atalinda Uislamu, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na Katiba ya nchi.
Habari ID: 3471106    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/05

Rais Hassan Rouhani
IQNA- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kuaga dunia Ayatullah Hashemi Rafsanjani, ni msiba mkubwa ambao umepelekea Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kupoteza tegemeo lake kubwa."
Habari ID: 3470798    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/16

Kwa munasaba wa kuanza Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwepo wa dini na madhehebu mbali mbali hapa nchini umesaidia kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa.
Habari ID: 3470737    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/12

Rais Rouhani akihutubu bungeni
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa la Iran litachukua hatua madhubuti na za kivitendo mkabala na uvunjaji ahadi, kigugumizi na ucheleweshaji wa aina yoyote ile katika kutekeleza mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
Habari ID: 3470719    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/05

IQNA-Rais Hassan Rouhani Jumamosi ametembelea Maonyesho ya 22 ya Vyombo vya Habari hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3470655    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds na amewataka Waislamu hususan wananchi wa Iran kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya siku hiyo Ijumaa wiki hii
Habari ID: 3470423    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/29

Rais Rouhani
Ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa dunia ni kuwa na kadiri na wastani katika mambo.
Habari ID: 3470266    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/23